The House of Favourite Newspapers

Video: Yanga Yakabidhiwa Rasimu ya Awali ya Mchakato wa Mabadiliko

0

Meneja wa mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga SC, Eng. Hersi Said pamoja na kamati ya Mabadiliko ya Yanga, leo Jumatano Dec. 2, 2020 wamekabidhi rasimu ya awali ya mchakato wa mabadiliko kwa uongozi wa Yanga.

Kwa mujibu wa Eng. Hersi Said, gharama zote za mchakato wa mabadiliko, zinalipwa kwa asilimia 100 na Wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM.

Leave A Reply