Yanga Yateua Kamati ya Ufundi

MWEMYEKITI wa Yanga kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji Klabu hiyo wameteua Kamati ya Ufundi yenye watu 6.
 
Kamati ya hiyo imemteua Dominck Albinus kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Salim Rupia kuwa Makamu Mwenyekiti.
 
Wajumbe wanaounda Kamati hiyo ni;
 
1. Ally Mayay
2. Kenny Mwaisabula
3. Sunday Manara
4. Kanali Idd Kipingu.


3473
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment