The House of Favourite Newspapers

Yanga Yawapiga Friends Ranger 3-1

0

Klabu ya soka ya Yanga imeendelea kujifua kimya kimya ambapo mazoezi ya ndani yamefanyika Septemba 2, 2021 kwa kujipima nguvu na Friends Ranger Fc na kuibuka na ushindi 3-1 katika uwanja uliopo kwenye kambi yao Avic Town .

Leave A Reply