The House of Favourite Newspapers

Yote haya utayapata kwenye Gazeti la Uwazi

0

Magufuli

MGONJWA ALIYETOA SIRI MUHIMBILI KWA MAGUFULI, YAMKUTA!
-Ni yule aliyeibua ubovu wa CT-Scan
-Avamiwa anakoishi
-Ahofia maisha
-Azungumza na UWAZI mwanzo hadi mwisho.
-Unataka kufahamu akina nani wamemvamia na nini kimemkuta baada ya kuvamiwa?

WANASWA WAKIJIANDAA KULIPUA HOTELI!
-Unajua ni akina nani, wapi na ilikuwaje?

MAGUFULI ‘KIBOKO’!
-Awahenyesha Makjatibu Wakuu wa Wizara
-Unataka kujua nini amekifanya Rais Magufuli?
-Ni Wizara gani na ilikuwaje?

MASWALI 8 KUUAWA KWA MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA!
-Unataka kujua undani wa hili?

KWA HAYA NA MENGINE MENGI, SOMA GAZETI LAKO LA UWAZI, JUMANNE NOVEMBA 17, 2015

Leave A Reply