The House of Favourite Newspapers

Yule Mtoto Itham Anayewajua Viongozi Wote Duniani Kaibuka Tena! – VIDEO

Mtoto aliyewahi kutikisa kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali nchini Itham Mahfudh(4) kutokana na kipaji chake cha kukariri viongozi mbalimbali duniani alipokuwa na umri wa miaka miwili, baada ya kimya kingi mapya yameibuka.

Global TV, lilimfungia safari hadi nyumbani kwao Mafumbo, Manispaa ya Bukoba na kubaini mapya ambapo amekuwa na uwezo wa ajabu zaidi.

Comments are closed.