The House of Favourite Newspapers

Zantel Yadhamini Tamasha La Wanachuo La ‘Chem Chem Bonfire’ Jijini Dar

0
Dulah Makabila, Msanii wa Muziki wa Singeli, Abdallah Makabila a.k.a Dullah Makabila akitumbuiza jukwaani wakati wa Tamasha la Wanachuo lijulikanalo kama ‘Zantel Chem Chem Bonfire’ lililofanyika katika ukumbi wa New Msasani Club hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Juma Kassim Nature akiwapagawisha Wanafunzi kutoka Vyuo vikuu vya jiji la Dar katika Tamasha lililoratibiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel.
Msanii wa Muziki wa Bongo Flaver, Young Killer akiimba pamoja na Wanafunzi wa Vyuo vikuu vya jiji la Dar.
Wasanii wa kizazi kipya wanaochipukia, Ibrahim Jakob na Happy Best wakishambulia jukwaa

TAMASHA lililoratibiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel lilopewa jina la ‘Zantel Chem Chem Bonfire’ limefanyika katika ukumbi wa New Msasani Club hivi karibuni jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

 

Leave A Reply