The House of Favourite Newspapers

ZANTEL YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU KUPAMBANA NA MAKOSA YA KUGHUSHI

0
Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary akizungumza katika maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Meneja wa Zantel anayeshughulikia masuala ya Afya, Usalam na Ulinzi Nashon Mudala.
Meneja wa Zantel anayeshughulikia masuala ya Afya, Usalama na Ulinzi Nashon Mudala akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Pamoja naye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary.
Afisa wa Kampuni ya Zantel Hamid Mohamed Bakar akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu Joanitha Rwegasira Mrengo akizungumza katika maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Zantel Sherif El Barbary.
Afisa uchunguzi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Vitalis Peter akizungumza na waandishi wa habari baada ya maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyofanyika katika makao makuu ya kampuni ya Zantel jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Afisa Uchunguzi kutoka Takukuru Joseph Kiula na Kushoto ni Meneja wa Zantel anayeshughulikia masuala ya Afya, Usalama an Ulinzi Nashon Mudala.
Mkuu wa kitengo cha manunuzi na utawala wa Zantel Rehema Khalid akizungumza wakati wa maadhimisho ya wiki ya kupambana na makosa ya kughushi yaliyohudhuriwa pia na maafisa kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Leave A Reply