The House of Favourite Newspapers

ZIJUE Ajali Mbaya 10 Za Meli Zilizotikisa Dunia – Video

Licha ya Titanic kuwa mbo cha majini kilichopata ajali na kuuwa watu wengi zaidi katia Historia kuna Meli zingine zilipata ajali na kuuwa watu wengi zaidi,kwa mfano Tanzania Meli ya MV Bukoba Mwaka 1996 iliuwa watu zaidi ya 1300 huku Meli ya Mv Spice Islander iliyokuwa katika safari ya Unguja na Pemba iliyouwa zaidi ya watu 1000 huku Wengine wakisema ni zaidi ya hao.

Na hizi ni baadhi ya Meli zilizo ua Watu Wengi zaidi Duniani

Comments are closed.