The House of Favourite Newspapers

(Pichaz) Nuruelly na Producer Lessar wafunika Global Tv online

0

085A0360

 

085A0363

Nuruelly Mbowe ‘Nuruelly’

085A0365

mtayarishaji Eddy Lessar

085A0371

085A0373

085A0376

085A0382

085A0384

Msanii mkali na nguli wa miondoka ya RNB, Bongo,  Nuruelly Mbowe ‘Nuruelly’ pamoja na mtayarishaji Eddy Lessar anayefanya vizuri kwenye gemu, leo wamefunika mbaya katika mahojiano na Global TV Online katika ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge, jijini Dar.

Ambapo waandishi wa Global walipandwa na mzuka  kwa uimbaji wa Nuruelly na kuomba waimbiwe nyimbo kibao ikiwamo Umetutoka Baba, Tumeagizwa Upendo, Nzela na nyinginezo.

Nuruelly ambaye anafanya kazi na B Bendi ameachia nyimbo zake mbili ikiwemo ya Upendo na Wakati Ndiyo sasa ambazo zimetengenezwa na mtayarisha Eddy Lessar.
Na Gabriel Ng’osha/GPL

Leave A Reply