The House of Favourite Newspapers

🔴#FT: Kenya 2 – 1 Tanzania – Mechi ya Kirafiki

0

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Kenya ni kutokana na makosa yaliyofanyika kwenye ulinzi.

 

 

Stars ikiwa Uwanja wa Nyayo katika mchezo wa kirafiki imepoteza kwa mabao 2-1 jambo ambalo limempa somo Poulsen.

 

 

Mabao ya Kenya yalifungwa na Erick Kabaito dakika ya 20 na liliwekwa sawa na Ayoub Lyanga dakika ya 32. Bao la ushindi la Kenya lilifungwa na Abdalah Hassan dakika ya 59.

 

Leave A Reply