The House of Favourite Newspapers

🔴#LIVE​: Manara, Kocha Simba Wafunguka Game ya Al Hilal

0

MSEMAJI wa klabu ya Simba, Haji Manara, na kocha mpya wa Simba, Didier Da Rosa, wamezungumza na wanahabari leo Januari 26, kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Al Hilal ya Sudan, katika mashindano ya Simba Super Cup.

Leave A Reply