The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Afanya Uzinduzi wa Vituo vya Huduma Pamoja – Posta

0

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa leo Jumatatu, Septemba 6, 2021 anazindua Vituo vya Huduma Pamoja vya Shirika la Posta, Jijini Dar es Salaam.

Vitaanza na vituo 10 nchi nzima ambapo vimeanza kwa mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma. Vituo hivyo vitapunguza muda wa kupata huduma kutoka wiki 4 hadi siku 3.

 

Leave A Reply