The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Mwandishi wa Azam Media Afariki Dunia

0

Mwandishi wa habari wa Azam Media mkoa wa Kagera, Nicolaus Ngaiza amefariki dunia saa nne usiku jana Jumapili badaa ya kupata ajali ya gari kugongana na lori, wilayani Muleba mkoani humo wakati akitoka wilayani Biharamulo kikazi.

 

 

 

 

 

Leave A Reply