The House of Favourite Newspapers

Gambo Amkabidhi Mapendekezo ya Utatuzi wa Mgogoro wa Pori Tengefu Kwa Majaliwa

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kushoto) akimkabidhi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) mapendekezo ya Kamati shirikishi ya utatuzi wa Mgogoro Wa Pori Tengefu la Loliondo jana.
Mrisho Gambo (kushoto) akitoa utangulizi wa mapendekezo ya jumla ya kamati.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Arusha.
Mrisho Gambo (kushoto) akimuonyesha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa utatuzi wa Mgogoro Wa Pori Tengefu la Loliondo utakavyokuwa katika ramani.
Leave A Reply