The House of Favourite Newspapers

Leo Siku ya Kuzaliwa Kwa Rais Kenyatta

0
Rais Uhuru Kenyatta

Leo ni siku ya marudio ya uchaguzi na pia ni siku sawa na aliyozaliwa Rais Uhuru Kenyatta mwaka 1961.

Baadhi ya idara za serikali zimechukua fursa hii kumtumia salamu za heri.

Leave A Reply