The House of Favourite Newspapers

Jux, Vanessa Mdee Wawashangaza Mashabiki!

0
Msanii wa Bongo Fleva, Jux, akifanya shoo Fiesta.
…Akiimba wimbo wake wa Wivu.
Akimuangalia Vanessa Mdee aliyekuwa anapanda stejini kumfuata ili waimbe pamoja.
…Akimpokea Vanessa baada ya kumfikia.
Wakiimba pamoja.
Jux akimfunga Vanessa cheni yake vizuri.
Vanessa akiimba moja ya nyimbo zake maarufu.

Waliokuwa wapenzi hapo nyuma, Jux na Vanessa, wamewashangaza mashabiki baada kuimba pamoja kwa hisia za kimahaba wakiwashangalia na kuwataka warudiane.  Kutokana na kuimba, kucheza na kukumbatiana, walionyesha kwamba penzi lao lilikuwa bado halijavunjika bali linaendelea, na kwamba kuvunjika kwa penzi hilo ni kuwazuga tu mashabiki.

(PICHA: MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS)

Leave A Reply