The House of Favourite Newspapers

Rachel Kizunguzungu Awashukuru Mashabiki Waliojitokeza Fiesta

0
Mwimbaji Rachel Kizunguzungu akipanda kwenye jukwaa la Fiesta.
…Akitoa burudani.
…Akiwashukuru mashabiki baada ya kumaliza shoo.

Rachel Kizunguzungu ni mmoja wa wasanii waliotoa burudani za kukonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta.

PICHA: MUSA MATEJA/GPL

 

Leave A Reply