Polisi Wavamia Ibada – Bagonza: Hii Ni Kinyume Na Uhuru Wa Kuabudu
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hatua zinazoendelea kuchukuliwa dhidi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, ikiwemo kutawanywa kwa mabomu ya machozi na…
