Tiboroha: Namrejesha Manji Yanga

Jonas Tiboroha (katikati) akiongea na wanahabari.

MGOMBEA wa nafasi ya Uenyekiti wa Yanga, Jonas Tiboroha amesema akipewa kura Jumapili atamrejesha kundini aliyekuwa Mwenyekiti na mfadhili wao, Yusuf Manji.

 

Yanga itafanya uchaguzi wao kwenye Ukumbi wa Bwalo la Polisi, Oysterbay jijini Dar es Salaam na
mambo mengi na hana chuki nae kama inavyoenezwa na baadhi ya wagombea wenzake. “Nitaanza na suala zima la mabadiliko, kwani mabadiliko ni mabadiliko muhimu ya kufanyia kazi mara moja pamoja na kujenga na kuimarisha taasisi.”

“Tutaimarisha matawi nchi nzima, tatu kurudisha klabu kwa wanachama na mashabiki, nne tutalifanyia kazi suala la uwekezaji na biashara katika klabu. “Haya yote nitayafanya endapo mtanichagua mimi na wenzangu ambao ni Ally Msigwa, Christopher Kashililika, Salim Rupia, Arifat Hadji, Said Baraka na Peter Saimon,” alisema Tiboroha.

Wakati Tiboroha akimwaga sera zake kwa mara ya kwanza hiyo jana, mpinzani wake wa karibu kwenye nafasi hiyo Mbaraka Igangula alifungua kampeni zake juzi Jumanne akiwa na wajumbe wanne, Ramadhani Said, Silvester Haule, Benjamini Mwakasonda na Athanasi Kazija. Kampeni zao walizizindulia kwenye Ukumbi wa CCM Kata 15 uliopo Temeke Mwisho, Dar.

 

Igangula naye anawania nafasi ya mwenyekiti akipambana na Tiboroha.
kupata viongozi ambao watakaa madarakani mwaka mmoja. Akizungumza na Spoti Xtra linalotoka kila Alhamisi na Jumapili, Tiboroha ameainisha kuwa katika suala la uwekezaji atampa kipaumbele Manji na wana ushirikiano mkubwa sana kuliko watu wanavyodhani. Alisema kwamba wamekuwa wakishirikiana na kiongozi huyo kwenye.

STORI NA MUSA MATEJA, GPL

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment