The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Uwoya Amwaga Pesa Kwa Waandishi, Aahidi Mazito!

Baadhi ya waigizaji wa Bongo Muvi wakiongea na wanahabari katika mkutano waliouitisha leo.

MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Irene Uwoya, ameonyesha jeuri ya pesa kwa kuwamwagia pesa  waandishi wa habari waliojitokeza katika ukumbi wa Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam leo kwenye mkutano ulioitishwa na wasanii wa Bongo Muvi.

Mkutano huo ulioitishwa na wana-Bongo Muvi wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Steve Nyerere, una lengo la kuzungumzia uzinduzi wa Swahiliflix ambao ni mtandao wa kuuzia muvi, unaotarajiwa kufanyika tarehe 31, mwezi huu mwishoni.

Comments are closed.