The House of Favourite Newspapers

40 ya Seth: Mama Kanumba ‘Afukua Makaburi’ – Video

0

FLORA MUTEGOA, mama wa aliyekuwa mwigizaji Steven Kanumba,  jana amehitimisha siku ya 40 ya kifo cha mwanaye Seth Bosco ambaye alikuwa mdogo wa mwigizaji marehemu  Kanumba,

Mutegoa pia alitumia fursa hiyo kufanya kile kilichoitwa kukata mzizi wa fitina kati yake na waliokuwa wakidhani yeye anamnyanyapa baba mzazi wa Kanumba katika kufuatia maslahi ya mtoto wake.

“Baba Kanumba huu ni mwaka wa nane hajui hata kaburi la mtoto wake,” alisema mwanamke huyo.

Seth na Steven walikuwa ni mtu na mdogo wake wakiwa wamechangia mama.

 

Leave A Reply