The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Mayasa Mariwata

Mayasa Mariwata LEO ni siku muhimu sana kwa mfanyakazi wa Global Publishers, Mayasa Mariwata ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini…

MINU AMBADILISHA MAVAZI SNURA!

Snura Mushi MSANII wa muziki Bongo, Snura Mushi anadaiwa kubadilishwa kimavazi na mwandani wake wa sasa aitwaye Minu. Mtoa ubuyu mmoja amenyetisha kuwa, Minu amemtaka Snura ajistiri kutokana na umbo lake kuwa na ushawishi…

PAM D AHUZUNISHWA NA MKE WA ROMA

SIKU chache baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kufungiwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza kutofanya sanaa miezi sita kutokana na wimbo wake wa Kibamia kukosa maadili, msanii…

MO MUSIC ATOSWA NA DEMU KISA…

MSANII anayetamba na Wimbo wa Bajaj, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amejikuta kwenye msongo wa mawazo baada ya mwanamke aliyekuwa mbioni kumuoa aitwaye Iptisam kuolewa na mtu mwingine, kutokana na mvutano wa dini baina yao. Kwa…

BABY SHOWER YA MTOTO WA GIGY YABUMA

MWANADADA machachari kwenye Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ambaye anatarajia kujifungua mwezi ujao, amejikuta akishindwa kufanya shughuli ya maandalizi ya mapokezi ya mwanaye wa kike atakayemzaa ‘baby shower’ kutokana na mambo ya…

PAM D AGEUKIA SINGELI

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ ameamua kugeukia muziki wa singeli na kuahidi kuliteka soko hilo, kwa kuwa anaamini muziki huo bado haujapata mwanamke anayeumudu. Akipiga stori na Risasi Vibes, Pam D alisema yupo…

Kadja Amtibua Tena Nama Yake

MREMBO wa Bongo Fleva, Natasha Lisimo ‘Kadja Nito’ ambaye aliingia kwenye bifu zito na mama yake baada ya kubadili dini na kuwa Mkristo na kumsamehe kipindi alipokuwa mahututi akijifungua, amemtibua tena mzazi wake huyo kutokana na…

Pretty Kind Aufyata Kwa Waziri

MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kindy’ ambaye siku chache zilizopita alipewa kibano cha kufungiwa asifanye sanaa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, amesema kuwa jambo hilo…

Sajent, Dulla Wadaiwa Kumwagana

MSANII wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ ambaye alikuwa kwenye mapenzi motomoto na msanii wa singeli Dulla Makabila, uhusiano wao unadaiwa kuvunjika kutokana na kutofautiana kwenye baadhi ya mambo. Kwa mujibu wa chanzo…

Mesen Ampa Wakati Mgumu Pam D

MSANII wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amejikuta kwenye wakati mgumu wa kumfariji ndugu yake ambaye pia ni msanii mwenzake, Mesen Selekta kutokana na kufiwa na mama yake ambaye alimfia mikononi mwake. Akistorisha na Mikito…

KIBA, JOTI WAMKOSHA RAIS MAGUFULI!

Wakati baadhi ya wale wasiojituma wakidai ‘vyuma vimekaza’, wasanii; Lucas Muhavile ‘Joti’ na Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ wameonekana kumfurahisha Rais Dk John Pombe Magufuli ‘JPM’ kwani wameendana na dhana ya kujituma kwa jasho…

NISHA BWANA’KE WATUPIANA VIJEMBE!

STAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye siku chache zilizopita alikana kuachana na mwandani wake Minu, amejikuta akikumbwa na aibu baada ya kuandika ujumbe ulioashiria kuwa, uhusiano wao umevunjika na kisha mwanaume huyo kujibu…

Mzungu Kumbadili Dini Sasha

MUUZA nyago machachari Bongo, Sasha Kassim ambaye anatarajia kufunga pingu za maisha siku chache zijazo, inasemekana kuwa yupo mbioni kubadili dini kumfata Mzungu wake aitwaye Boniface, kutoka kwenye dini yake ya Kiislamu na kuwa…

Lulu Diva: Sijaumia Belle 9 Kuoa

MSANII anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kuweka wazi hisia zake kwamba anamzimikia msanii mwenzake, Abednego Damian ‘Belle 9’ ambaye amefunga ndoa ya siri siku chache…

Mafuriko Yamhamisha Mtaa Gigy!

MWANADADA machachari Bongo Gift Stanford ‘Gigy Money’ anadaiwa kuyumba kimaisha kwa kuwa vitu vyake vingi vya ndani vilisombwa na mafuriko siku chache zilizopita, jambo lililomrudisha nyuma kimaisha. Chanzo makini kimeeleza…

GIGY ABWATUKA KUNASA KIBENDI

MSANII wa filamu Bongo Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kutokana na uvumi uliopo kwamba amenasa kibendi na kusema watu waache kumjadili juu ya ishu hiyo sababu mimba si kitu cha matangazo na wala haina kificho. Akipiga…

Wizara ya Afya yamvaa Faiza

Dunia ina mambo! Kila kukicha kwenye ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii kunazuka jambo jipya ambapo siku chache zilipita, msanii wa filamu za Kibongo, Faiza Ally ametengeneza vichwa vya habari baada ya kutupia picha ya utupu akiwa…

Sasha: Naolewa Kutoa Nuksi

MWANADADA mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Sasha Kassim ambaye anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka kesho amesema kuwa, ameamua kuolewa ili kutoa nuksi. Sasha ambaye hujulikana sana mitandaoni kwa picha zake za…