The House of Favourite Newspapers

Achomwa Visu, Atundikwa Kwenye Mparachichi – Video

0

 

Kijana Melkezedik Robert mwenye umri wa miaka 35, mkazi wa kijiji cha Nyerezi, Arumeru mkoani Arusha, amekutwa  amekufa huku mwili wake ukiwa umening’inizwa juu ya mti ya mparachichi.

 

Akizungumza na Global TV Online, mwenyekiti wa ulinzi wa wa Kitongoji cha Achi, aliyejitambulisha kwa jina moja la Agesmun, amesema walikuta mwili wa kijana huyo ukiwa umekatwakatwa visu katika maeneo mbalimbali mgongoni.

 

Alisema mara baada ya polisi kufika, waliwashikilia baba na mdogo wa marehemu ambaye inasadikika alikuwa na ugomvi na marehemu kaka yake.

FULL STORY INGIA GLOBAL TV ONLINE KATIKA YOUTUBE

 

Leave A Reply