The House of Favourite Newspapers

Ajali Mbaya Dar, Wananchi Waiba Saruji – Video

0

AJALI imetokea maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam leo baada ya lori ambalo kuacha njia na kugonga daladala na kisha kuparamia nyumba iliyoko pembezoni mwa barabara.

 

Wananchi wamevamia eneo hilo la ajali hiyo na kuanza kuiba mifuko yenye sementi wakisomba kutoka kwenye lori hilo na kutokomea nayo kusikojulikana.

 

Taarifa Zaidi kuhusu madhara yaliyosababishwa na ajali hiyo tutakueletea punde.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)

Leave A Reply