The House of Favourite Newspapers

Ajali ya Basi, Lori na Trekta Yaua Kwimba, Mwanza

0
Ajali ilivyotokea.

WATU ambao idadi yao bado haijafahamika wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Frester, lori na trekta lilolokuwa limebeba mawe kugongana usiku wa kuamkia leo (Agosti 23, 2017) katika barabara ya Mwanza – Shinyanga eneo la Hungumalwa wilayani Kwimba.

Hali ilivyokuwa.

Taarifa za awali zimeeleza kuwa, miili ya marehemu hao imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Ngudu huku majeruhi wakikimbizwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza kwa matibabu.

 

Majeruhi baada ya kuokolewa.

 

Taarifa hizo pia zimeeleza kuwa dereva wa basi hilo alikuwa amenasa ndani ya basi lakini hakupoteza maisha.

Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App

 

LIVE: Mama Samia Kwenye Mkutano wa National Summit on Food Foundation

Leave A Reply