Ajibu Ajipatia Kazi Ngumu Ligi Kuu

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu amesema bado ana kazi kubwa Jangwani. Ajibu ambaye ana mabao matano kwenye ligi, ametengeneza pasi tisa zilizozaa mabao ya timu hiyo.

 

Akizungumza na Championi Jumatano, Ajibu alisema; “Kazi bado kwa kuwa kuna michezo mingi ambayo ipo mbele yetu. “Kila mchezaji hapa ana tabia yake na pia wengine hawakuwa kwenye ligi muda mrefu hivyo lazima tunashirikiana kufikia malengo,” alisema Ajibu.

STORI: Lunyamadzo Mlyuka,

Toa comment