The House of Favourite Newspapers

Al Ahly Dhidi Ya Yanga Ni Usiku Wa Kisasi

0

Usiku wa ligi ya mabingwa Afrika unaendelea tena Ijumaa ya leo ambapo kutakua na mchezo wa kisasi kati ya klabu ya Yanga kutoka nchini Tanzania dhidi ya klabu ya Al Ahly ya nchini Misri mchezo ambao umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.

Mchezo huu utakua na taswira ya aina yake kwani Yanga watahitaji kushinda ili waongoze kundi D ambalo mpaka sasa linaongozwa na Al Ahly, Lakini pia Yanga wana kumbukumbu na mchezo huu kwani walishwahi kutolewa na Al Ahly katika michuano hii katika dimba ambalo mchezo utapigwa leo hivo ni huu ni mchezo wa kisasi.

Kundi hili tayari limeshapa wawakilishi wa Robo fainali ya michuano hiyo kwani mchezo utakaopigwa nchini Algeria hautaathiri chochote katika msimamo wa kundi hilo, Huku mchezo utakaotupiwa macho ni ule utakaopigwa pale Cairo nchini Misri.

Mchezo utakaopigwa pale Cairo baina ya Al Ahly dhidi ya mabingwa wa Tanzania klabu ya Yanga ambapo mchezo huu ndo utatoa taswira ya nani atakwenda kuongoza kundi D, Kwani mpaka sasa Ahly wana alama 9 ambapo klabu ya Yanga wao wana alama 8.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Klabu ya Yanga wakifanikiwa kupata matokeo ya ushindi leo ugenini ni wazi watakua na alama 11 na kukwea kileleni mwa msimamo wa kundi hilo, Huku wakiwaacha Al Ahly wakibaki na alama zao 8 lakini wakati huo huo matokeo ya ushindi au sare kwa Al Ahly yatakua faida kwao kwani wataendelea kukaa kileleni mwa msimamo.

Leave A Reply