The House of Favourite Newspapers

Video; Umati Wafurika Uwanja Wa Uhuru Kumuaga Hayati Ali Hassan Mwinyi – Video

0

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed Ali ameungana na Watanzania na viongozi wakuu wa Serikali katika kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais mstaafu wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Abiy alikuja nchini Februari 29, 2024 kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu.

Leave A Reply