The House of Favourite Newspapers

Al Maktoum, Bilionea wa Dubai Anayeishi ‘Peponi’ – Video

0

IPO wazi kwamba hakuna mji wa kibiashara uliochangamka katika eneo la Mashariki ya Kati kama Dubai! Jengo refu zaidi kuliko yote duniani, Burj al Khalifa, lipo Dubai na ndani yake kuna maduka makubwa zaidi duniani ya Dubai Malls!

 

Kuna majengo mengine ya kisasa zaidi duniani ikiwemo Burj Al Arab, vivutio vya kitalii na vituo vikubwa vya uwekezaji kama palm Island, Dubai Internet City, Dubai Media City, Dubai International Finance Centre na kadhalika!

 

Kwa kifupi ni kwamba Dubai ni kama ‘pepo’ ya duniani hivi, yanapatikana mambo ambayo huwezi kuyapata sehemu nyingine yoyote duniani! Pengine unaweza kujiuliza, ni nani aliyepo nyuma ya mafanikio yote haya ambayo Dubai imeyafikia?

 

GLOBAL TV ONLINE IMEKUANDALIA…

Leave A Reply