The House of Favourite Newspapers

Calisah Aibuka na Kampuni Ya Kuwasadia Wanawake Kupata Mimba -Video

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah, amesema kwa sasa anamiliki kampuni mbili,  moja ni ya kukuza wanamitindo wachanga Bongo na nyingine ni ya kuwapa mimba wanawake walioshindwa kupata mimba kwa wanaume zao.

 

Calisah amesema kwa sasa ameshawapa mimba wanawake 25 na anaendelea na biashara yake ambapo ukihitaji mimba unamtafuta mnasaini mkataba unamlipa kisha anakupa mimba.

Comments are closed.