The House of Favourite Newspapers

(+Sauti), Alichosema Spika Ndugai Baada ya Yanga Kufungwa (4-0)

0
Job Yustino Ndugai.

SPIKA wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Job Yustino Ndugai, leo bungeni amesema kuwa anamuunga mkono Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwa mkazo zaidi unapaswa kuweka kwenye sanaa kwani masuala ya mpira wa miguu yanaelekea kutushinda.

Ndugai alisema kuwa ni heri tukazanie zaidi sanaa maana mpira wa miguu unatupa shinda kidogo. Kauli hii ya Spika imekuja kufuatia klabu ya Yanga kufungwa magoli 4-0 nchini Algeria katika mchezo wa marudiano wa michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

“Watu wamepoteana uwanjani bao nne…. wakapoteana mjini, wanarudi mafungu mafungu… Namuuliza Mh. Waziri Mkuu vipi? anasema hata sijui kinachoendelea” alisema Spika wa Bunge.

Nimekuwekea Hapa Sauti, Isikilize Mwenyewe Hapa…

Leave A Reply