The House of Favourite Newspapers

Amber Rutty, Mumewe Watinga Mahakamani Tena Baada ya Ndoa! – VIDEO

Mwanamuziki Amber Rutty na Mumewe Davil, wamefika tena katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili ya kusambaza video zenye maudhui ya ngono mitandaoni.

Kesi hiyo imeahirishwa mpaka Februari 12, mwaka huu wa 2019.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.