The House of Favourite Newspapers

Amuua Mama Yake, Aukaanga Ubongo Kisa Pesa ya Pombe! – Video

Kijana mmoja raia wa INDIA anadaiwa kumuua mama yake kikatili kwa kumpiga na shoka kichwani na kisha kuchukua ubongo wake na kuukaanga jikoni ili ale.

 

Anaitwa Sitaram Iraon, 32, kutoka kijiji cha Botalda wilayani Kharsia Mkoa wa Raigarh, huko Chhattisgarh, anatuhumiwa kumuua mama yake Phoolbai wa miaka 50.

Comments are closed.