Anapoishi Mama Wa ‘Mbona Haongei, Ukorofi’ Afunguka Wanae Kumtenga Kisa Clip Yake-Video
GLOBAL TV imefunga safari hadi wilayani Masasi mkoani Mtwara kuzungumza na Mama Charles aliye trend akisema ‘Mbona Huongei, Mbona Hucheki’ ambaye clip yake imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii…