The House of Favourite Newspapers

Angalia Live Alikiba Akisaini Mkataba na Sonny Afrika Kusini Leo

0

Kiba (1)

Ali Kiba akisaini mkataba na kampuni ya Sonny nchini Afrika Kusini leo.

Kiba (2)

Kiba baada ya kusaini mkataba.

STAA wa Bongo Fleva, Ali Kiba leo amesaini mkataba na kampuni kubwa duniani ya Sony nchini Afrika Kusini.

Alikiba baada ya kusaini mkataba huo mewashukuru mashabiki wake kwa ‘support’ waliyompa tangu aliporudi na wimbo wake wa ‘Mwana’ mpaka leo hii na kusema atafanya sherehe na mashabiki zake ili kufurahi nao baada ya kusaini mkataba na Sony Music.

“Nataka kukumbuka nilivyorudi kwenye game 2014 toka nimepumzika, nimepiga hatua kubwa sana na hii ni kutokana na support kutoka kwa mashabiki, mtanisamehe mashabiki pale nilipokosea, ila kwa furaha niliyonayo leo kusaini mkataba huu naomba nikirudi nifanye sherehe ili nifurahi pamoja na mashabiki zangu ambao walikuwa na mimi mwanzo mpaka sasa” alisema Alikiba.

Mbali na hilo Alikiba amewashukuru waandishi wa habari na vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vikimpa support kwenye kazi zake za muziki siku zote.

 

Leave A Reply