The House of Favourite Newspapers

Asha Baraka Afungukia Kumrejesha Fagason, Alia Na NEMC, Smart Brown Aachia Kitu – Video

0

Mwenyekiti wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka amesema kitendo kilichofanywa na Baraza la Usimamizi wa Mazingira NEMC, la kufungia kumbi za starehe na baa kwa madai ya kusababisha kelele ambazo ni zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa kisheria, kimewaathiri watu wote.

Kupitia Kipindi cha Xpress Africa kinachorushwa na @255globalradio, Asha Baraka amesema walioathirika ni kuanzia wamiliki wa kumbi, wajasiriamali wanaofanya biashara za vyakula mpaka wauzaji wa bidhaa kama nyama na kuku kwenye masoko.

Leave A Reply