The House of Favourite Newspapers

Askari Polisi Wafyatuliana Risasi Na Majambazi Tunduru Waua Wawili – Video

0


Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limefanikiwa kuwakama watu wawili ambao wanasadikika kuwa ni majambazi baada ya kupata taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu majambazi hao ambao walijipanga kufanya uhalifu katika kijiji cha Msavura januari 14, 2024.

Kamanda wa Polisi amesema baada ya kupata taarifa kuhusu majambazi hao walianza kuwafatilia, na baada ya majambazi hao kujua wanafatiliwa walianza kuwafyetulia risasi polisi, na katika kujihami Polisi waliwafyetulia risasi majambazi hao na kuwajeruhi sehemu mbalimbali za mwili, na kuwapeleka katika Hospitali ya Wilaya na wakiwa hospitali walipoteza maisha.

Leave A Reply