The House of Favourite Newspapers

Aunt, Wema sasa wanazingua

0

AUNT-EZEKIEL

Aunt Ezekiel

STORI: IMELDA MTEMA

MIZINGUO! Mastaa wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na Wema Isaac Sepetu, wanadaiwa kuwazingua mashabiki wao kwa tabia yao ya kugombana na upatana kila kukicha.

wema3Wema Isaac

Mashabiki wa mastaa hao wanaonekana kukasirishwa na hali hiyo baada ya hivi karibuni kutibuana na haukupita muda mrefu wakatupia picha wakiwa amekumbatiana hivyo mashabiki wao kuamini kuwa huenda wanatafuta ‘kiki’ ili wasikauke kwenye vinywa vya watu.

Leave A Reply