The House of Favourite Newspapers

Mama: Lulu nataka mjukuu

0

mamaluluMama mzazi wa Lulu, Lucresia Karugila.

STORI: BRIGHTON MASALU
KUTOKA moyoni! Lucresia Karugila ni mama mzazi wa staa wa tasnia ya fi lamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye ameeleza shauku yake ya kutaka kumuona mwanaye (Lulu) akimzalia mjukuu kabla umri haujamtupa mkono.

LulumichaelStaa wa tasnia ya fi lamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Mama Lulu aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa furaha yake ingekamilika kama Lulu angebahatika kupata mtoto na aliyekuwa mpenzi wake, marehemu Steven Kanumba, lakini hata kwa sasa anahitaji kuona mjukuu angali na nguvu za kumlea.

Leave A Reply