The House of Favourite Newspapers

Baba Levo Ajisalimisha BASATA – Video

0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Baba levo ameripoti katika ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kufuatia kusambazwa kwa picha jongefu (video) na chatting zinazodaiwa kuwa ni za msanii mwenzao Harmonize na mtoto wa Kajala, Paula.

 

Kabla ya kwenda BASATA Baba Levo alithibitisha kuwa ameitwa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa amepokea simu kutoka BASATA na ameambiwa afike saa tatu asubuhi na tayari ameshafika.

 

Haijafahamika alichoitiwa lakini huenda ni kutoakna na kinachoendelea mitandaoni kati yake na Harmonize kama tunavyofahamu BASATA walitoa angalizo jana kuwa kwa msanii atakayejihusisha tena na hayo mambo ya kurushiana maneno machafu basi watamchukulia hatua za kisheria.

 

Leave A Reply