The House of Favourite Newspapers

Balaa la Beka Ibrozama Akiimba Cover ya Ekwueme na Excess Love! – VIDEO

Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye ni mtaalamu wa kufanya kava za wimbo wa wasanii mbalimbali ndani na nje ya nchi, Beka Ibrozama, amezidi kuonesha uwezo wake kwa kuimba wimbo wa Excess Love ambao unatamba sana kwa sasa pamoja na nyimbo nyingine za wasanii.

 

Beka amefanya balaa hilo kwenye uzinduzi wa Chekelea Stand Up Comedy uliofanyika katika ukumbi wa Kebbys Mwenge jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi wa serikali akiwemo Naibu Waziri wa Sanaa, Juliana Shonza, Katibu Mkuu wa Basata Godfrey Mngereza pamoja na wasanii wengine wa vichekesho na filamu nchini.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.