Lulu Amwaga Zawadi za Azania Saba Saba – Video

MSANII wa filamu Bongo na Balozi wa Azania Group of Companies, Elizabeth Michael ‘Lulu’,  Julai 7, 2020 alifika katika banda  la Azania Saba Saba na kutoa zawadi kwa wateja na kutoa elimu juu ya unga bora kutoka Azania.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8

⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiongea na wanahabari.

…Akisoma meseji za mashabiki wake.

 

 

Toa comment