The House of Favourite Newspapers

Video: Kingwendu Jafo Simuwezi, Zungu Saizi Yangu!

0

Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likiendelea watia nia wameendelea kupigana vikumbo majimboni ambapo msanii mkongwe wa vichekesho Bongo Kingwendu ametangaza nia yakugombea jimbo la Ilala ambalo lilikuwa linashikiliwa na Waziri nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mussa Azzan Zungu.

Leave A Reply