The House of Favourite Newspapers

BARUA NZITO Kwa ‘KAJALA’ Baada Ya Video Akikatika Na Mwanae – VIDEO

Baada ya kusambaa kwa kipande cha video ikimuonyesha staa wa bongo muvi, Kajala Masanja akikatika viuno na mwanae Paula na kuzua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni.

Ameandikiwa barua nzito kufuatia tukio hilo ili iwe funzo kwake na kwa mastaa wengine ambao wamekuwa na tabia hiyo.

Comments are closed.