The House of Favourite Newspapers

Bata la Coco Beach Sikukuu ya Eid Al-Fitri – Video

0

Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na maeneo ya jirani leo Ijumaa, Mei 14, 2021, walifurika kwa wingi katika Ufukwe wa Coco Beach ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Eid Al Fitr duniani kwa waumini wa Kiislam.

 

Sikukuu ya Eid hufanyika kila mwaka duniani baada ya Waislam kumaliza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaowataka waumini hao pamoja na kutokula mchana, kujiimarisha katika kutenda mambo mema kwa binadamu wenzao na hivyo kwa Mwenyezi Mungu.

Leave A Reply