The House of Favourite Newspapers

Ben Pol akomaa na Wasauz

0

ALKE9149Bernad Paul ‘Ben Pol’

ANDREW CARLOS
BAADA ya kubamba na Ngoma ya Ningefanyaje ambapo kichupa chake kimefanyika Sauz chini ya Dairekta Justin Campos, staa wa Muziki wa R&B Bongo, Bernad Paul ‘Ben Pol’ ameonesha kuendelea kukomaa nchini humo baada ya kutengeneza kichupa kipya kijulikanacho kama Moyo Mashine.

Akichonga na Showbiz Xtra, Ben Pol alisema kuwa Moyo Mashine audio yake imepikwa na Lollypop lakini video ameifanyia Sauz chini ya Dairekta Nic anayebamba kwa video kali ambazo ni Make Me Sing ya Diamond pamoja na Bado ya Harmonize.

“Natarajia kuachia rasmi Ngoma ya Moyo Mashine mapema mwezi ujao na siwezi kuongea sana kwani ngoma yenyewe itajieleza,” alisema Ben Pol.

Leave A Reply