The House of Favourite Newspapers

BENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU WA SIKUKUU

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania, Gifty Shoka akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa wateja wa benki hiyo,Hyasinta Mwimanzi wakiongea na wateja wa benki hiyo jijini Dar es Salaam, Nursiye Marhoon na Majda Mohamed wakati wa hafla ya uzinduzi wa VISA Card mpya ya ambayo itawawezesha wateja wa benki hiyo kufanya manunuzi mbalimbali kipindi hiki cha Sikukuu
Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya CBA Tanzania,wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa VISA Card mpya ya benki hiyo itakayo wawezesha wateja wa benki hiyo kufanya manunuzi mbalimbali kipindi hiki cha Sikukuu
Mkurugenzi wa Mkuu Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania,Gifty Shoka (kushoto)akimkabidhi VISA Card mpya ya benki hiyo Mkurugenzi wa mauzo na masoko wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,Seraphin Lusala wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi hiyo itakayowawezesha wateja wa benki hiyo kufanya manunuzi mbalimbali kwa kipindi hiki cha Sikukuu,Wanaoshuhudia ni baadhi ya wateja wa benki hiyo, Nursiye Marhoon na Majda Mohamed

Comments are closed.