The House of Favourite Newspapers

Bibi Kizee wa Miaka 107 Apona #Corona

0


SALTANAT AKBARI mwenye umri wa miaka 107 amepona #COVID19. Alilazwa katika Hospitali ya Khansari iliyopo jijini Arak nchini Iran.


Inaelezwa kuwa mwanamke huyo amepona #CoronaVirus kwa msaada wa madaktari na manesi wa hospitali hiyo.

 

Iran ni miongoni mwa nchi za Mashariki ya Kati zilizoathirika zaidi na Corona. Imerekodi visa 135,701 na vifo 7,417 huku wagonjwa waliopona wakiwa 105,801.

 

 

Leave A Reply