The House of Favourite Newspapers

Bibi Mwokota Makopo Maarufu Dar “Naipenda Hii Kazi” – Video

Global TV imefunga safari mpaka maeneo ya Mikocheni kwa Bibi maarufu zaidi eneo hilo ambaye ni wifi wa mama Maria Nyerere, anayefanya kazi ya kuokota makopo ili tu miguu yake isivimbe.

 

Bibi huyo ambaye hajui umri wake lakini kutokana na kumbukumbu alizonazo anakadiriwa kuwa na miaka zaidi ya 80 ameelezea maisha yake kuanzia enzi za ujana mpaka sasa akiwa anaishi na wajukuu zake tu baada ya kufiwa na watoto wake wote wanne.

 

Hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Bibi Huyu

Comments are closed.