The House of Favourite Newspapers

Bilionea Mkubwa Na Familia Yake Wafariki Kwenye Ajali Ya Ndege-Video

0

Watu nane akiwemo bilionea mkubwa wa Romania, Dan Petrescu wamefariki dunia baada ya ndege ndogo yenye injini moja waliyokuwa wakisafiria, kuangukia kando ya jengo la ghorofa mbili, nje kidogo ya Jiji la Milan nchini Italia, ajali iliyotokea Jumapili ya Oktoba 3, 2021.

Leave A Reply